Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kadri siku zinavyoenda wembamba wangu unazidi kunipa stress nilifikiri nikiwa mbaba nitaongezeka mwili ila imekuwa kinyume kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupungua. kila nikikutana na mtu...
15 Reactions
74 Replies
1K Views
Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku , Wana visirani na viburi sijawahi ona , Picha linaanza akikata...
105 Reactions
307 Replies
19K Views
Kiufupi Majiji ya Mbeya na Tanga Yako nyuma sana linapokuja Suala la Ujenzi wa Majengo ya Magorofa be it ya biashara au Serikali ukilinganisha na Mwanza,Arusha,Dom na baba lao Dar. Yaani hata...
13 Reactions
166 Replies
16K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
256 Reactions
154K Replies
4M Views
Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8 BBC Africa Eye investigates the plight of Malawian women lured to Oman with offers of domestic work, only to...
1 Reactions
30 Replies
598 Views
Magaidi ya FATAH yenye mlengo wa dini ya kiislamu na magaidi ya HAMAS yenye mlengo wa dini ya kiislamu, yaanza kulumbana, hao FATAH wanawalaumu HAMAS kwa kusababisha majanga Gaza ambayo hayajawahi...
5 Reactions
55 Replies
1K Views
Riwaya hii ni ya kubuni, hivyo mfanano wa matukio wa ndani ya Riwaya na maisha halisi unayoyaishi ni shabaha tu ya fikra za Mtunzi. karibuni nyote kwa wingi MABADUNI WA SERIKALI...
10 Reactions
134 Replies
17K Views
Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja. Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye...
59 Reactions
218 Replies
9K Views
Wakuu, haya maisha yanafunzo. Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukapata mtoto mmoja, maisha yakatuchanganya, tukaachana, Kila mtu akaendelea na Maisha yake! Mtoto aliniachia mawasiliano...
25 Reactions
145 Replies
2K Views
Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu...
37 Reactions
393 Replies
20K Views

FORUM STATS

Threads
1,837,643
Posts
49,109,414
Members
662,933
Latest member
Asm09
Back
Top Bottom